Marekani yatoa masharti kuijenga upya Syria
ein news -

Marekani yatoa masharti kuijenga upya Syria

11:19 GMT - Magazetini

WASHINGTON, MAREKANI WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Marekani, Mike Pompeo amesema nchi yake haitakubali kutoa msaada wowote wa ziada wa kuijenga upya Syria ikiwa vikosi vya Iran vitaendelea kuwepo nchini humo. Akizungumza mbele ya kundi la wabunge wanaoiunga mkono Israel, Pompeo ameahidi ataendelea kushinikiza Iran itengwe na kuwekewa vikwazo vikali kabisa kuwahi kushuhudiwa. “Jukumu …read more